Ads (728x90)

Tabs

Page

KK
Japokua club yake haijaweka wazi wapi anapoeleka, lakini wamesema kwamba mchezaji wao Robert Kenedy Nunes do Nascimento au kwa kifupi Kenedy ameshanunuliwa na timu nyingine kutoka Ulaya.
Mchezaji huyo ambae
anaonekana kuwa na future kubwa kwenye ulimwengu wa soka ndio kwanza ana miaka 19 na club za Barcelona na Manchester united tayari walishaonyesha interest ya kumtaka.
Ripoti za ndani na zinasema kwamba mchezaji huyu amesaini kucheza na club ya Chelsea. Kama ni hivyo basi atajiunga na wabrazil wenzake kama Willian, Oscar, Filipe Luis, Diego Costa

Post a Comment