Mara nyingi imezoeleka ndani ya nyumba
wanawake wengi huwa na tabia ya kuongea sana kuliko wanaume
kitendo ambacho mara nyingine kinawachukiza baadhi ya wanaume na kuamua
kuchelewa kurudi nyumbani ili kuepukana na kelele za wake zao.
Jamaa mmoja katika jombo la Texas,
Marekani anashikiliwa na pilisi kwa tuhuma za kusababisha mauaji baada
ya kumziba mke wake Ceaira Ford na mto hadi kufa kwa madai anaongea
sana.
Baada ya kufanya kitendo hicho Janathamn Edelen
alijipeka mwenyewe kituo cha polisi na polisi walipokwenda nyumbani
kwake walishuhudia mwili wa mwanamke huyo ukiwa juu ya kitanda huku
tayari akiwa amefariki.
Mwanaume huyo amehukumiwa kwenda jela na kulipa faini ya dola 500,000.
Post a Comment