Jack Wilshere anajiachia na girlfriend wake mpya ambaye ni mtoto wa kinyozi wake
Wilshere anategemea kapata mkataba mpya ambao utaongeza sehemu ya mshahara wake kutoka £60,000 kwa wiki. Lakini hayo ni kwenye soka, nje ya soka hivi sasa anakula likizo na binti mpya anaitwa Andriani Michael mwenye miaka 24.
Andriani Michael ni mtoto wa kinyozi wa Jack, kwa hiyo akitaka kupendeza kwa upande wa nywele anaenda kwa mkwe wake ambae anapiga hair cut kwa muda mrefu sana. Arsenal wanategemea kumuongeza mkataba na pesa nyingi ili kumtoa kwenye vishawishi vya kuhamia Manchester city ambao wanamtaka.
Post a Comment