Kiungo mahiri
wa ukabaji wa Simba na Taifa Stars, Jonas Gerard Mkude ameanza
majaribio katika klabu ya Bidvest Wits inayoshiriki ligi kuu Afrika
kusini.
Mkude
ameonekana mwenye kujiamini katika majaribio hayo,
huku akiwa na
matumaini ya kufuzu ili kutimiza ndoto yake ya kucheza soka la kulipwa.
Mkude akiwa amekaa kwenye benchi la uwanja wa Bidvest kabla ya kuanza mazoezi
Post a Comment