kenedchristian.blogspot.com
Hii ndiyo sababu ya Drake kutokuonekana kwenye video ya WizKid ‘Come Closer’
Wizkid aka Star Boy ametoa sababu za kwanini Drake ameshindwa kutokea kwenye video ya colabo yao ‘ Come Closer ‘. Mashabiki wa Wi...
Fahamu kuhusu ugonjwa wa kichwa kikubwa na mgongo wazi kwa watatoto
Ugonjwa wa mtoto kuzaliwa na nafasi kwenye uti wa mgongo unaitwa S pina Bifida ugonjwa huu hutokana na upungufu wa vitamin B9 (foliac acid)....
Serikali ya China kuwazawadi wanao wafichua majasusi wa kigeni
Serikali ya China inatoa zawadi kubwa kwa wale ambao watatoa taarifa kuhusu kuwepo kwa majasusi wa kigeni. Wakaazi wa mji mkuu wa China hu...
Fahamu kuhusu Kifafa cha Mimba (Preeclampsia, Eclampsia) na namna ya kukizuia
Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaohusiana na msukumo mkubwa wa damu (high blood pressure) wakati wa ujauzito pamoja na kuharibika kwa viungo m...
Haya ndiyo miongoni mwa mafanikio aliyo yapata Tiwa Savage kutoka Nigeria
Msanii mkubwa wa muziki Nigeria Tiwa Savage ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo ya #RocNation ya Jay Z anazidi kuweka misingi mizuri ya soko ...
Je wajua uhusiano kati ya damu na mfupa,vitu vinavyoharibu uhusiano huo na madhara yake
Mfupa ni sehemu ya mwili ambayo ina asilia ya ugumu husaidia kuupa mwili muonekano. Ndani ya mfupa huwa kuna kitu kinachoitwa Bone Marrow ...
Fahamu kuhusu saratani ya tezi dume
Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Ugonjwa huu ni chanzo kikuu c...
Arsenal yaipa kichapo Hull City 2-0
Alexis Sanchez alifunga mara mbili na kuisaidia Arsenal kuishinda Hull City 2-0 katika uamuzi wa refa uliodaiwa kuwa na utata. Arsenal ili...
Wahamiaji Marekani wasio na vibali wakamatwa
Watetezi wa haki za wageni, wanasema mamia ya wahamiaji wasiokuwa na nyaraka za kubaki Marekani, wamekamatwa nchini humo katika siku chache ...