Ads (728x90)

Tabs

Page

Donald TrumpWatetezi wa haki za wageni, wanasema mamia ya wahamiaji wasiokuwa na nyaraka za kubaki Marekani, wamekamatwa nchini humo katika siku chache zilizopita. 
Wanasema hatua kama hizo zilikuwa zikifanywa wakati wa serikali zilizopita
Shirika la kutetea haki za wahamiaji la Los Angeles, limesema mahabusu hawaruhusiwi kuwaona mawakili.
Hapo awali, serikali ya Mexico, ilionya raia wake walioko Marekani, wawe na tahadhari, na wawasiliane na ubalozi wao, baada ya mwanamke mmoja kutoka Mexico kuondoshwa kwa lazima siku ya Alkhamisi.

Post a Comment