Ads (728x90)

Tabs

Page

Tokeo la picha la drake with wizkid

Wizkid aka Star Boy ametoa sababu za kwanini Drake ameshindwa kutokea kwenye video ya colabo yao ‘Come Closer‘.
Mashabiki wa Wizkid Nigeria wamekasirishwa na jambo hilo la Drake kutoonekana kwenye video ya wimbo huo.
WizKid anasema “Nilikuwa na dharura ya kifamilia wakati Drake anafanya video ya one dancena yeye alikuwa kwenye Tour wakati nafanya video ya Come Closer, hatuna tatizo lolote,No bad blood..One Love still

Post a Comment