Ads (728x90)

Tabs

Page

Msanii mkubwa wa muziki Nigeria Tiwa Savage ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo ya #RocNation ya Jay Z anazidi kuweka misingi mizuri ya soko lake nje ya Afrika.
Tiwa ambaye kwa sasa anategemea kusikika kwenye album mpya ya Dj Khaled ‘Grateful’ amekuwa karibu na wasanii wakubwa Marekani kitu ambacho kitarahisisha kufanya kazi bora, colabo na Promo kwenye radio na tv za huko…

Post a Comment