Ads (728x90)

Tabs

Page

Chris-Brown-as-Chris-Kofi-Sarpong-Brown-600x600
Chris Brown
Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia… najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo za kiafrika itakuwaje??!!
Hapa nimepata picha za ubunifu ambazo wanaonekana Drake, Jay Z, P DiddyRick Ross na Chris Brown kwenye muonekano wa nguo ambazo mara nyingi tumeziona wakivaa Wanigeria.

Chris Brown
Drake-as-Aubrey-Drake-Abdul-Salam-Graham-PALMWINEPAPI-600x587
Rapper Drake
Jay-Z-as-Chief-Shawn-Ugonna-Jay-Z-Carter-600x600
Rapper Jay Z
Puff-Daddy-as-Sean-Puffy-Nana-Antwi-Combs
Rapper P Diddy
Rick-Ross-as-Mazi-Odinnaka-Rosey-600x599
Rapper Rick Ross

Post a Comment