Ads (728x90)

Tabs

Page

Kwenye wimbo wa Drake na Future katika album ya DS 2 “Where Ya At,” Drake aliwahi kusema ‘Nitanunua nyumba ya jirani yangu kama atalalamika kuwa nampigia kelele” na sasa rapa huyu amefanya kweli.

Kwa mujibu wa Trulia, tovuti ya kuuza majengo, Drake amenunua nyumba pembeni ya jumba lake huko Calabasas, Los Angeles, kwa dola milioni $2.85 ili aweze kupiga kelele zaidi kwenye nyumba yake ambayo ipo eneo moja na nyumba hio.

Drake amenunua nyumba ya jirani yake yenye vyumba vinne vya kulala na inasemekana ataishi hapo na Rihanna.

Post a Comment