Ilikupita? Alichokiandika Wema Sepetu baada ya Ujauzito wake kuharibika.
Moja ya stori kubwa zilizokamata kwenye mitandao ya kijamii Feb 17 2016 ilikuwa ni post ya mrembo wa bongo Wema Sepetu ambaye aliandika maelezo kuhusu kuharibika kwa ujauzito wake, Full stori nimekuwekea pia kwenye hii sauti hapa chini ikiwa ni kipisi cha interview niliyowahi kufanya na Idris Sultan kuhusu Ujauzito wa Wema.
Post a Comment