Ads (728x90)

Tabs

Page

Msanii wa bongo fleva kutoka WCB,Raymond ambaye anatamba na video ya natafuta kiki ambayo ndani yake mastaa kibao wametokelezea amesema kuwa hakutaka video hiyo itoke bila kuwepo Snura ya Wema.
Raymond ameiambia E newz kuwa wakati ana shoot video hiyo Wema Sepetu alikuwa busy kwa hiyo ikambidi achukue moja clip walizowahi ku shoot wakiwa pamoja kwenye birthday party ya Romy Jons.
Mimi sina ugomvi na Wema ndio maana hata nilipomwona kwenye party ya Romy Jons nikaenda kumsalimia na camera men wakachukua video,na mwanzoni nilishaongea naye kuhusu yeye kutokea kwenye video ya Natafuta kiki lakini ratiba zake zikabana,na mimi nilishasema moyoni mwangu natamani niione Snura ya Wema kwenye Natafuta Kiki,kwa hiyo nikawa sina jinsi” alifunguka RayVanny.

Post a Comment