Tuzo za 20 za MOBO zinazofanyika Uingereza zimetoa majina ya wasanii
wanao wania vipengele tofauti. Wasanii kutoka Nigeria na Ghana
wametawala kipengele hicho huku msanii aliyechukua tuzo hio mwaka
janaFuse ODG Aliwa juu kabisa ya orodha hio.
Mwaka huu tuzo hizi zitafanyika Leeds Uingereza kwenye ukumbi wa Direct Arena jumatano ya November 5, 2015.
Best African
Fuse ODG
Davido
Wizkid
Patoranking
Moelogo
Yemi Alade
Aka
Mista Silva
Shatta Wale
Silvastone
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment