Tinashe anaelekea kutoa album yake mpya Joyride na hii imetangazwa kuwa single ya kwanza kutoka kwenye album hio.
Kwenye rekodi hii kashirikishwa rnb staa Chris Brown “Player,” na metayarishwa na LULOU na Alex Purple.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment