Good news ninayotaka kukusogezea ni hii
ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye
amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.
Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika..’Nimechukua
fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri
ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa
Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE’ – Professor Jay
Post a Comment