Rnb na pop staa kutoka Tanzania Belle 9 amekamilisha colabo yake na G Nako wa Weusi na sasa ni muda wa kuitazama video ya kazi hii.
Wimbo huu wa ‘Give It To me‘ umetoka chini ya lebo yake ya Vitamin Music Group Limited, Bonyeza play kuitazama video hii…
Post a Comment