Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la R.ganz kutoka kilimanjaro ameachia ngoma hii inayokwenda kwa jina la ...
Davido kaongelea thamani yake,kitu cha gharama alichonunua hivi karibuni,na kuruka kwenye ndege,viko hapa
Mwimbaji wa Nigeria Davido amekanusha kuwa thamani yake ni dola milioni 14 ambazo ni kama Naira bilioni 2.7. Davido amesema maneno haya ...
Ulidhani tattoo ya Chris Brown kichani ni kubwa,sasa angalia ya rapa YG
Kama ulidhani Chris Brown, lil Wayne na Gucci Mane ndio wasanii uwezo wa kuchora tattoo kubwa kichwani basi YG Atakushangaza kwa alichofa...
Picha,Video ya Shauri Zao ya Belle 9 sasa inachezwa Trace Urban.
Rnb Super star kutoka Tanzania Belle 9 ameonyesha furaha yake baada ya video yake ya ‘Shauri Zao’ kuchezwa kwenye kituo cha kimataifa cha...
Hii video mpya ya Timaya Ft Don Jazzy ‘I Concur’ itazame hapa.
Miongoni mwa rekodi zilizofanywa hivi karibuni na producer Don Jazzy ni ‘I Concur’ ambayo ni wimbo wa msanii wa Nigeria Timaya. Hii ndio ...
Wiz Kid kufanya show jukwa moja na Alicia Keys na Chris Rock.
Muimbaji wa Nigeria Wizkid anatarajia kufanya show kwenye jukwa moja na msanii Alicia Keys na mchekeshaji Chris Rock. Blogs za Nigeria z...
Rapa Soulja Boy asema atampigia kura Kanye West akigombani Urais Marekani na hii ndio sababu.
Rapa Soulja ameweka wazi kuwa kama Kanye West atapata nafasi ya kugombani urais nchini Marekani basi kura yake atampa rapa huyu. Kanye ...