
Rapa YG Amechora tattoo ya Bikira Maria kichwani kwake ikiwa na mstari kutoka kwenye iblia uliosema “No weapon formed against me shall prosper.”
YG yupo studio sasa akirekodi album mpya ya Still Krazy, kwa sasa amefungua lebel yake iliyopewa jina 4HUNNID label,na msanii wa kwanza kupewa dili kwenye lebel hii ni msanii wa rnb Tanea na hivi karibuni msanii huyu ametoa wimbo “Trippin.”
Post a Comment