Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama ...
Kayasema haya Ommy Dimpoz baada ya kutoboa PUA
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mar...
Haya ndiyo aliyosema Raymond kua hana tatizo na Wema, alitamani kuwaona wote yeye pamoja na Snura kwenye video yake…
Msanii wa bongo fleva kutoka WCB, Raymond ambaye anatamba na video ya natafuta kiki ambayo ndani yake mastaa kibao wametokelezea amesema k...
Kayasema haya AT kuhusu kutumia beat za nje kuimbia kiswahili sio bongo fleva hio.
Msanii AT ameweka wazi kuwa wasanii wa Tanzania wangeweza kufanya vizuri zaidi nje ya Tanzania kama wangeimba na kufanya muziki wa bongo ...
Kumbe Dullysykes ilikua awe Mwanajeshi?ilikuaje hakwenda Jeshini tena?Majibu haya hapa.
Zipo stori ambazo huwa zinazungumzwa na kubaki kwenye kumbukumbu za Maisha yetu labda ...
Shilole ataja sababu za kuuza nyumba yake aliyokua anajenga Kimara
Msanii Shilole aliwai kuingia kwenye headlines baada ya ku-post kwenye instagram picha...
Chege yuko South Africa katika maandalizi ya video yake mpya…
Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo time hii...
Idris kajibu haya kuhusu picha za Wema na jamaa wa Big Brother…
Kuna pichaz ambazo zimesambaa mitandaoni zinazowaonesha mrembo Wema Sepetu na Luis ...
Christian Bella na Ali Kiba wamemaliza shooting ya video ya Nagharamia tizama picha hapa.
Christian Bella na Bongo fleva super staa Ali Kiba wamefanikiwa kumaliza kushoot video ya wimbo wao mpya Nagharamia na Bella amethibitisha...
Picha,Video ya Shauri Zao ya Belle 9 sasa inachezwa Trace Urban.
Rnb Super star kutoka Tanzania Belle 9 ameonyesha furaha yake baada ya video yake ya ‘Shauri Zao’ kuchezwa kwenye kituo cha kimataifa cha...
Shilole anaongeza tattoo nyingine ya Nuh
Shilole aka Shishi Baby yuko tena kwenye U Heard… Soudy Brown amemcheki na story ni k...
Kwa mara ya kwanza AliKiba kamtaja mgombea Urais ambaye ni chaguo lake Tanzania 2015.
Ni mwezi mmoja umebaki kufikia siku nyingine kubwa kwa Watanzania kupiga kura kumchagua Rais wanaemtaka, Wabunge pamoja na Madiwani kwenye...
Dully Sykes hana Chama? Maneno yake ni haya, wanaodhalilishana na matusi Mitandaoni ?!
Tumeona list ya mastaa wengi wa Muziki na Movie Bongo kwenye Majukwaa ya Kampeni wakiongozana na Wagombea wa nafasi mbalimbali ...
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuac...
Nay wa Mitego: Nina Maana Yangu Kutumia Damu Kwenye Video
Akizungumza na Clouds E ya Clouds TV, Nay amesema bado kuna video zinakuja zitakazokuwa na damu. “Hii ni video ya pili naifanya hivi na kut...
Ali Kiba na Diamond Platnumz kwa midomo yao wenyewe wanakiri hawa beef
Diamond Platnumz na Ali Kiba Kwenye interview tofauti walizofanyiwa watu hawa maarufu wa muziki wa bongo fleva wote wamekiri kuwa hawan...
Diamond Platnumz asema Ay ndio aliyesababisha collabo na Davido,video na Godfather.
Entertainment Kwenye siku yake ya kuzaliwa msanii Ay amepokea salamu nyingi kutoka kwa watu maarufu Afrika na nje. Miongoni mwa watu...
Na Steve Nyerere ametangaza rasmi anautaka Ubunge 2015, maneno yake ninayo hapa
. Aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Nyerere ameingia kwenye list ya wagombea ubunge mwaka 2015 Kwenye interview na
Maamuzi ya mahakama kuhusu kesi ya SUGU na MKEWE juu ya mtoto wao
ni habari ambayo imeandikwa na gazeti ya Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam kuhusu kesi iliyokua imefunguli...