Ugonjwa wa mtoto kuzaliwa na nafasi kwenye uti wa mgongo unaitwa S pina Bifida ugonjwa huu hutokana na upungufu wa vitamin B9 (foliac acid)....
Fahamu kuhusu Kifafa cha Mimba (Preeclampsia, Eclampsia) na namna ya kukizuia
Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaohusiana na msukumo mkubwa wa damu (high blood pressure) wakati wa ujauzito pamoja na kuharibika kwa viungo m...
Je wajua uhusiano kati ya damu na mfupa,vitu vinavyoharibu uhusiano huo na madhara yake
Mfupa ni sehemu ya mwili ambayo ina asilia ya ugumu husaidia kuupa mwili muonekano. Ndani ya mfupa huwa kuna kitu kinachoitwa Bone Marrow ...
Fahamu kuhusu saratani ya tezi dume
Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Ugonjwa huu ni chanzo kikuu c...
FAHAMU UGONJWA WA KISONONO, DALILI NA TIBA YAKE
KISONONO ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukua na kuzaliana k...
Utafiti Waonesha Ngono ya Mdomo ni Hatari.........
Namna mdomo unavyoharibika kutokana na ngono kufanywa kwa kutumia mdomo. Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na n...
ATHARI ZA UGONJWA WA KISUKARI
Kisukari ni mojawapo ya magonjwa ya mmeng’enyo ambayo husababisha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili...
NYAMA NYEKUNDU ILIYOSINDIKWA HUSABABISHA SARATAN
Shirika la utafiti la saratani la WHO (IARC), limefanya uchambuzi wa kitafiti wa jinsi matumizi ya nyama nyekundu iliyosindikwa kuwa ki...
Utafiti uliofanywa umeonyesha Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume
Utafiti uliofanywa nchini Denmark umeonyesha uzani wa mwanamume huathiri seli za mbegu za kiume na huenda ukachangia katika kuwafanya wato...
Kunywa pombe kwenye jua huongeza hatari ya kupata saratani ya ngozi
Kunywa pombe mchanganyiko au bia kadhaa beach inaweza kufanya kujisikia kama uko peponi, lakini kuchanganya pombe na jua inaweza kuleta...