Diamond Platnumz yupo kwenye kipengele cha
Best African Act akichuana na wasanii Wiz Kid wa Nigeria, Patoranking wa Nigeria, Tiwa Savage wa Nigeria na Kundi la Active.
Tuzo zitafanyika september 4 2015 kwenye hoteli ya Munyonyo Common Wealth Resort mjini Kampala nchini Uganda.


Post a Comment