Hii video mpya ya msanii kutoka Nigeria WizKid ‘Final [Baba NLA], Video imetayarishwa na Sesan.
Meek Mill kurudishwa jela kwa kosa la kuvunja masharti ya kifungo cha nje.
Kuna asilimia kubwa rapa Meek Mill akarudishwa tena jela kwa kosa la kuvunja masharti ya kifungo cha nje aliyopangiwa na mahakama. Mee...
Hii video mpya ya Jidenna ‘Long Live The Chief’ itazame hapa.
Jidenna ambaye alifanya vizuri na wimbo wake wa “Classic Man” sasa amekuja na rekodi nyingine iliyopewa jina “Long Live the Chief.”
Chris Brown asema mtoto wake Royalty amesababisha aache kuvuta sugara.
Rnb staa Chris Brown anasema mtoto wake Royalty ndio amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye album yake mpya ya Royalty. Kwenye interview ali...
Hii video mpya ya Jux ‘One More Night’ itazame hapa.
Hii video mpya ya Rnb super staa Jux inaitwa ‘One More Night’. Audio imetayarishwa na Nahreel
Rais Magufuli Atangaza Baraza la Mawaziri…!
Orodha ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Dk. Magufuli. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametangaz...
Ojuelegba ni wimbo No12 bora zaidi duniani 2015,haikuhitaji sauti ya Drake,jarida la Fader lasema.
Wimbo wa WizKid ‘Ojuelegba Remix’ watajwa kuwa No 12 kwneye nyimbo bora za 2015 na jarida la Fader kwenye orodha ya nyimbo 107 bora za ...