Michuano ya fainali ya klabu Bingwa Afrika inatarajia kufanyika leo October 31 nchini...
Ex girlfriend wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ anakuja Nigeria kuhost pool party tizama picha hapa.....
Aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ anakuja Afrika nchini Nigeria kuhost pool party itakayofanyika Abuja na atakuwa na dj ...
Album ya Mnigeria Wande Coal yashika namba moja Itunes ndani ya saa 48.
Album mpya na yapili wa Wande Coal kutoka Nigeria imefanikiwa kuwa mwongoni mwa album zilizonunuliwa zaidi kwenye mtandao wa Itunes wiki...
Dancer Julija wa Uingereza katengeneza dance video ya wimbo wa Diamond Platnumz ‘Nana’ itazame hapa.
Dancer kutoka Uingereza Julija ametoa dance video ya wimbo wa Diamond Platnumz ‘Nana’ ft Flavour wa Nigeria. Bonyeza play kuitazama.
Christian Bella na Ali Kiba wamemaliza shooting ya video ya Nagharamia tizama picha hapa.
Christian Bella na Bongo fleva super staa Ali Kiba wamefanikiwa kumaliza kushoot video ya wimbo wao mpya Nagharamia na Bella amethibitisha...
Rick Ross azungumzia ushauri aliompa Meek Mil kabla hajaingia kwenye beef na Drake.
Rick Ross anajitayarisha kutoa album yake mpya ya Black Market na hivi karibuni amehojiwa kuhusu beef ya Meek Mil na Drake pamoja na col...
ItizameTrailer ya video ya Rick Ross Ft Chris Brown
Rapa Rick Ross amefanya drama kidogo kama movie kwenye video ya wimbo wake “Sorry” akiwa na Chris Brown. Wimbo “Sorry” upo kwenye album...