kenedchristian.blogspot.com
Hii ndiyo sababu ya Drake kutokuonekana kwenye video ya WizKid ‘Come Closer’
Wizkid aka Star Boy ametoa sababu za kwanini Drake ameshindwa kutokea kwenye video ya colabo yao ‘ Come Closer ‘. Mashabiki wa Wi...
Fahamu kuhusu ugonjwa wa kichwa kikubwa na mgongo wazi kwa watatoto
Ugonjwa wa mtoto kuzaliwa na nafasi kwenye uti wa mgongo unaitwa S pina Bifida ugonjwa huu hutokana na upungufu wa vitamin B9 (foliac acid)....
Serikali ya China kuwazawadi wanao wafichua majasusi wa kigeni
Serikali ya China inatoa zawadi kubwa kwa wale ambao watatoa taarifa kuhusu kuwepo kwa majasusi wa kigeni. Wakaazi wa mji mkuu wa China hu...
Fahamu kuhusu Kifafa cha Mimba (Preeclampsia, Eclampsia) na namna ya kukizuia
Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaohusiana na msukumo mkubwa wa damu (high blood pressure) wakati wa ujauzito pamoja na kuharibika kwa viungo m...
Haya ndiyo miongoni mwa mafanikio aliyo yapata Tiwa Savage kutoka Nigeria
Msanii mkubwa wa muziki Nigeria Tiwa Savage ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo ya #RocNation ya Jay Z anazidi kuweka misingi mizuri ya soko ...
Je wajua uhusiano kati ya damu na mfupa,vitu vinavyoharibu uhusiano huo na madhara yake
Mfupa ni sehemu ya mwili ambayo ina asilia ya ugumu husaidia kuupa mwili muonekano. Ndani ya mfupa huwa kuna kitu kinachoitwa Bone Marrow ...
Fahamu kuhusu saratani ya tezi dume
Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Ugonjwa huu ni chanzo kikuu c...
Arsenal yaipa kichapo Hull City 2-0
Alexis Sanchez alifunga mara mbili na kuisaidia Arsenal kuishinda Hull City 2-0 katika uamuzi wa refa uliodaiwa kuwa na utata. Arsenal ili...
Wahamiaji Marekani wasio na vibali wakamatwa
Watetezi wa haki za wageni, wanasema mamia ya wahamiaji wasiokuwa na nyaraka za kubaki Marekani, wamekamatwa nchini humo katika siku chache ...
Kayasema haya hascana juu ya ajali ya Darasa
Muongozaji wa video za muziki nchini, Hanscana amefunguka na kueleza nini kilitokea hadi wakapata ajali mbaya ya gari akiwa na rapa Darass...
FAHAMU UGONJWA WA KISONONO, DALILI NA TIBA YAKE
KISONONO ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukua na kuzaliana k...
Belle 9 Ft G-Nako ‘Give It To Me’ Enjoy…
Rnb na pop staa kutoka Tanzania Belle 9 amekamilisha colabo yake na G Nako wa Weusi na sasa ni muda wa kuitazama video ya kazi hii. ...
Ali Kiba akubali akiri kua lugha ya kingereza kwake ni tatizo
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama ...
Kayasema haya Ommy Dimpoz baada ya kutoboa PUA
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mar...
Kweli Dunia Imekwisha,Ushawahi Kuona Mwanaume Apata Hedhi
George Fellowes ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 22 na anaamni kwamba hata yeye hupatwa na ”hedhi ya kiume”. Anasema kuwa ...
Bibi wa Miaka 72 Ajifungua Mtoto Nchini India
Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India. Mwanamke huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya...
Utafiti Waonesha Ngono ya Mdomo ni Hatari.........
Namna mdomo unavyoharibika kutokana na ngono kufanywa kwa kutumia mdomo. Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na n...