ENTERTEINMENT Lipstick za Drake zanunuliwa zote dakika chache tu baada ya kuingia sokoni. Christian Ngoti 3:49 AM A+ A- Print Email Lipstick za rapa Drake alizobuni kupitia brand ya Tom Ford zimemalizika dukani ndani ya dakika chache za kuingia sokoni. Lipstick hizi zinauzwa dola $35 kwa moja. Lipstick hizi ni collection ya Tom Ford, Lips & Boys.
Post a Comment