Tetesi za kuwa rapper Drake na mcheza tenisi Serena williams ni
wapenzi zinaweza zikawa zimethibitishwa na hizi picha zinazowaonesha
pamoja wakishikana na kupiga busu.
Picha hiziz zilipigwa kwenye mgahawa mmoja huko huko Cincinnati, Marekani.
Tetesi za Uhusiano wao zilianza baada ya Drake kuonekana akimshangilia serena williams kwenye mashindano ya Wimbledon.
Post a Comment