Duka la westagate lililo mji mkuu wa
Kenya Nairobi linafungua milango yake hii leo kwa umma karibu miaka
miwili tangu lishambuliwe na wanamgambo wa al shabab.Duka hilo linafunguliwa wiki moja baada ya rais wa Marekani Barack Obama kufanya ziara nchini kenya hatua inayoonekana kama ishara ya imani kwa usalama wa nchini Kenya.
Al Shabab wameendesha mashambulizi mengine mabaya nchini Kenya tangu litokee shambulizi la Westgate likiwemo la chuo kikuu cha Garissa ambapo watu 150 waliuawa.
Post a Comment